Huduma za masoko kidijiti zinazotumia Lugha ya eneo husika
Poly Digital Marketing itaipeleka biashara yako katika masoko mengi ulimwenguni kwa kutumia lugha ya eneo husuika. Kwa nini ufanye biashara kwenye inchi moja? Kwa kutumia huduma za masoko ya kidijiti ambazo zinatumia lugha ya eno husika, utaweza kufanya biashara kokote duniani! Anza kuuza bidhaa na huduma zako mtandaoni ili upata wateja wa kimataifa kwa kutumia huduma za masako za kidijiti zinazotumia lugha ya eneo husika.

Ushauri wa Biashara kwenye Masoko yanayotumia Lugha Husika ya Eneno
Poly Digital Marketing inafanya utafiti wa masoko ulio sahii kabisa, inafanya mpangilio wa masoko, inafanya utabiri wa mauzo na inafanaya mkakati mpangilio wa masoko kwa biashara ya aina yoyote katika nchi yoyote na katika lugha yoyote. Tunafanaya kazi na takwimu na wataalamu wakuaminika ili kukupa matokea sahii.

Muundo wa Picha Unaotumia Lugha Husika ya Eneo
Wataalamu wetu wa kimataifa wa miundo ya picha watafanya utambulisho wa biashara yako, watakutengenezea card za biashara, watakuundia tovuti, watakutengenezea picha za habari, watakutengenezea vifaa vya matangazo vyenye chapa yako, mabango, watakufanyia ubunifu wa sanaa na Kukuonyesha mifano.

Uundaji wa Tovuti unaotumia Lugha Husika ya Eneo
Poly Digital Marketing wanatengeneza tovuti nzuri kwa lugha ya eneo husika ambazo zinapendeza machoni wa watumaji na kuwafanya wawe wateja. Tunatengeneza Tovuti kwa maitaji tofauti na katika bajeti tofauti: Tovuti za kawaida, tovuti za kawaida za majukwaa, CMS, PHP,Frameworks, WordPress, Joomla, Tovuti za kuuza mtandaoni za aina zote au CMS framework.

Uandishi wa Makala katika Lugha ya Eneo Husika
Tunatoa huduma za uandishi wa makala kwa kiwango cha hali ya juu sana na katika mifumo na lugha tofauti: huduma za uandishi wa blog, White papers, Jarida kwa barua pepe, vitabu vya kimtandao na makala za kuwavuta wateja.

SEO katika lugha ya eneo husika
Tunahakikisha tovuti yako inapata nafasi ya juu kabisa na inakua rahisi kutaftika wa wateja unaowalenga. SEO optimisation for: Goole, Yahoo, Bing, Yandex, Baidu, Ask.com, AOL.com, Wolframalpha, DuckDuckGo and more.

Matangazo ya Kulipia hadi pale mteja atakapo bonyeza kunga cha tovuti yako katika Lugha ya Eneo Husika
Tunatoa huduma ya matangazo yanayolipiwa kwa mtu kubonyeza katika lugha ya eneo husika na katika enjini za utaftaji mtandaoni tofauti tofauti: Google, Yahoo,Yandex, Baidu, Wolframalpha, DuckDuckGoand more. Utalipia kwa tangazo pale tu mteja atakapotembelea tovuti yako.

Matangazo ya Masoko katika Mitandao ya Kijamii kwa Kutumia Lugha ya Eneo Husika
Tunatoa huduma za masoko kwa kutumia mitandano ya jamii na kwa lugha ya eneo husika na katika majukwaa tofauti. Biasharaza anina mbali mbali zinaitaji huduma tofauti tofauti ya namna ya kujitangaza katika mitandao ya kijamii. Tutakutengenezea Mpango Mkakati wa mitandao yako ya kjamii, tutatengeneza kurasa na yaliyomo ambavyo vitauza,tutaitangaza kurasa yako kuongeza namba ya wanao kufwatilia, utapata wageni wengi wataotembelea kurasa na kujenga mtandao wa biashara.

Utaftaji wa Masoko kwa Kutumia Barua Pepe na kwa Lugha ya Eneo Husika
Tuna database ya mamillioni ya watu waliojiandika dunia nzima. Tutakutengenezea makakati wako wa tutafuta masoko kwa barua pepe, tutakuandikia mahudhui ya barua pepe kitaalamu na kukupa taarifa ya utendaji wa kampeni yako ya kutafuta masoko kwa barua pepe. Hii itakuwezesha kujenga mahusiano na wateja wa badae, wateja wa sasa na wale wa zamani.

Kusimamia Hadhi ya Kampuni Mtandaoni kwa Kutumia Lugha ya Eneo Husika
Kwa kutumia usimamizi wetu wa hadhi ya kampuni mtandaoni kwa kutumia Lugha ya eneo husika, unaweza kujenga muonekano chanya kwa bizaa zako ulimwengni. Huduma zetu zinajumuisha ukaguzi naufwatliaji kwenye mtandao, kupitia maandishi mtandaoni kwa kutumia Lugha ya Eneo Husika, usimamizi wa maoni mabaya.

Huduma Ya Tafsiri ya Lugha Mbali Mbali
Tafsiri tovuti, blogi au nyaraka kwenda kwenye lugha ya walengwa. Huduma yetu ya Tafsri inahusisha tafsiri ya tovuti kwenye muundo tofauti kama vile HTML, Tafsiri ya nyaraka za viapo vya kisheria na Tafsiri katika nyanja nyingine.

Uchunguzi wa Matokeo ya Mtandaoni kwa Lugha ya Eneo Husika
Tunapima utendaji wa kampeni zako za masoko mtandaoni na faida unayoipata kutoka kwenye kampeni hizo. Tufanya hivi kwenye injini za utafutaji tofauti tofauti na majukwaa ya kimataifa ya mitandao ya Kijamii. Tunatoa repoti kamilifu kwenye matangazo ya PPC, Masoko ya Mitandao ya Kijamii, Kampeni za ORM, Kampeni za masoko za barua pepe na Zaidi
Unajiuliza Faida gani utapata kwa kuuza Bidhaa zako na huduma nje ya Nchi?
Tunaweza Kukuandalia Plani ya Biashara na Masoko Mtandaoni huku tukikuonyesha utabiri wa Mauzo na Faida!
Timu Yenye Uwezo Wa kutumia Lugha Tofauti Ulimwenguni
Kwa kutumia timu yetu ya wataalumu wa lugha tofauti tofauti, wataalumu wa matangazo mtandaoni, wasimamizi wa miradi, waandishi waliobobea, waunda tovuti, wataalumu wa SEO na wawakilishi wa mauzo Poly Digital Marketing inaweza kuikuza biashara yako ndani nanje ya Nchi.
Jinsi ya kuanza biashara ya mkondoni ya kimataifa?
Tengeneza bidhaa na huduma ambazo zinafahamika kimataifa, Tengeneza tovuti zinazowavutia watumiaji, Tafsiri tovuti yako kwenda kwenye lugha inayo tumika na walengwa wako, Fanya tovuti yako ipatikane kwenye injini za utafutaji mtandaoni zinazo tumiwa na walengwa wa biashara yako, Tangaza tovuti yako kwa lugha ya walengwa na uanze kuuza bidhaa na huduma zako Amerika ya Kaskazini, Amerika ya Kusini, Ulaya, Mashariki ya Kati, Mashariki ya Mbali, Afirka, Urusi, India na Austalia
Huduma ya Matangazo Kidijiti kwa Kutumia Lugha ya Eneo Husika kwa Biashara za aina MbaliMbali

Matangazo ya Masoko Kwa Makampuni Madogo Yanayoanza
Tunaweza kukusaidia kufanya wazo lako la biashara kwa biashara kubwa kimataifa kwa kutumia uzoefu wetu wa miaka mingi kwenye mikakati ya masoko and kwa kutumia timu yetu bora kabisa yenyewe uwezo wa Lugha tofauti tofauti.

Masoko kwa Biashara za Ndani
Kama upo kwenye biashara kwa muda sasa na timu yako ya masoko imeshindwa kuwafikia walengwa wa biashara yako, Wasiliana nasi sasa. Tutafanya kazi na timu yako ya Masoko nakushauri wapi mabadiriko yafanyike. Labda mtaitaji kuporesha muonekano na hadhi yenu mtandaoni.

Utaftaji wa Masoko kwa Makampuni ya Kimataifa
Poly Digital Marketing inafanya Utafiti wa Masoko and Mikakati kwaajili ya kukuza biashara yako kwende kwenye masoko ya kimataifa yenye faida kubwa zaidi. Kodi timu yetu ya masoko yenye uwezo wa lugha zinazotumiwa na walengwa wa biashara yako, kuliko kutoa ajila ya kudumu kwa mtu kabla ata ujajua soko lilivyo.
Ushuhuda
The Poly Digital Marketing team came up with a genius strategy. They suggested creating a crowd funding website where we could collect funds for to start shooting in the Serengeti. (more…)
Serengeti Show Live
Production Team- Poly Digital Marketing has an amazing understanding and knowledge of UX design for applications as well as Analytics tools. Just a few consultations
Thomas Maree
Digital Marketing Manager - Mama Money - I found Poly Digital Marketing on Google when I was looking for a company who could help me export wines from South Africa to Russia.
Dean de Beer
CEO - Vina Yuar - I contacted PolyDigital Marketing to help me set up a website for my new business in the field of translation. My brief was simple
Karen Hallez
Founder - In A Word Translations I am pleased with the Digital Marketing Strategy Poly Digital created for me at Bestafricantrip Starting from the best domain name to SEO optimised content and Social Media Strategy. (more…)
Olga Shevchenko
Founder - Best African TripI am very happy with the SEO Strategy and implementation Evgeniya did for Africanstartravel for Russian Search Engines. I can see the difference, there is much more organic traffic (more…)
Margarita Murma
Founder and CEO - African Star TravelEvgeniya created our Digital Marketing Strategy and optimised our OLSPS Analytics for Google. We are very happy with the results. Now our Predictive Analytics Solutions (more…)
Amos Barkai
Founder and CEO - OLSPS